Wakati anasubiri Tuzo za MTV, Diamond Ameweka Rekodi Nyingine Twitter

Wakati anasubiri Tuzo za MTV, Diamond Ameweka Rekodi Nyingine Twitter
Wakati akijiandaa na tuzo za MTV, Diamond Platinumz amekupiga hatua nyingine kwenye katika mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya akaunti yake kuwa verified leo....>>>>>
diamond tena
Hivi sasa Diamond kama msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400.
Diamond anaungana na wasanii wengine kama AY kama wasanii wa bongo fleva ambao akaunti zao za Twitter zimekuwa Verified
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks