James Rodriguez akubali kujiunga Madrid

Real Madrid wanatarajiwa kumaliza mpango wa kumleta Bernabeu mshindi wa kiatu cha dhahabu cha Kombe la Dunia James Rodriguez, kwa mujibu wa gazeti la Hispania AS...>>>

Gazeti hilo la Madrid linadai kuwa mabingwa hao wa Ligi ya Mabingwa wameshakubaliana na mchezaji na sasa klabu hiyo inafanya mazungumzo na Monaco, ambao wanataka pauni milioni 63 (Tril.1.6) kwa mshambuliaji huyo wa Colombia.
Makubaliano hayajaenda sawa, ila Madrid wanategemea kumuuza winga Angel Di Maria kwa PSG wiki hii kwa pauni milioni 47 na hiyo inaweza kuharakisha mpango huo.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks