Orodha ya wachezaji watatu waliongia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Ballon’Dor inayotolewa kwa mchezaji bora wa dunia imetajwa hii leo ......
Orodha hiyo imewajumuisha wachezaji watatu ambao ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo , nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, na Kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer.
Mchezaji ambaye anatetea tuzo hii hadi sasa ni Cristaino Ronaldo ambaye aliitwaa kwa mwaka 2013 na kwa jinsi mambo yanavyokwenda ana nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo mwakani .
Mshindi wa tuzo hii atatangazwa kwenye hafla itakayofanyika huko Zurich januari 12 ambapo tuzo mbalimbali zitatolewa .
About nellychazzy
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment