Paka mkubwa aonekana Paris ufaransa

Polisi nchini Ufaransa,askari wa zima moto na polisi waliopewa
mafunzo maalum ya kikosi cha mbwa wako katika msako mkubwa
wa kumtafuta paka mkubwa aliyeingia mjini.
Paka huyo mkubwa anaaminika kuwa ni chui mkubwa mwenye
mistari kama ya pundamilia maarufu kama buka,alionekana katika
moja ya maduka makubwa na hata kwenye maegesho ya magari
mjini Paris.
Chopa inaongezea nguvu katika harakati za kumsaka buka huyo
ndani na nje ya mji wa Montevrain.Polisi wamewataka raia wa mji
huo na mingine miwili wasitoke nje ya nyumba zao ama matembezi
ya jioni wakati wa zoezi la kumsaka Buka huyo.
Wazazi wamesha chukua watoto wao mashuleni kwa magari baada
ya taarifa za kuonekana Buka huyo mjini bustanini.

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks