Mwana muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone ameonyesha upendo mkubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya Jumba la Big Brother Africa na kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa wanane tu........
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo…“– @jchameleone
0 comments:
Post a Comment