Kombe la Dunia 2022 Qatar kufanyika Novemba na Disemba


Ujumbe wa Qatar wakisherehekea kukabidhiwa uenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2022 Disemba 2010
Ujumbe wa Qatar wakisherehekea kukabidhiwa uenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2022 Disemba 2010
Kombe la Dunia la mwaka 2022 nchini Qatar linapaswa kufanyika Novemba na Disemba, kikosi kazi cha Fifa kimependeza.
Maafisa muhimuu wa soka walikutana jijini Doha kujadili idadi ya mapendekezo kufuatia hofu ya msimu wa kiangazi kuhatarisha afya ya wachezaji na mashabiki.
Rais wa Fifa Sep Blatter aliitaja Qatar kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2022 mjini Zurich 2010
Rais wa Fifa Sep Blatter aliitaja Qatar kuwa mshindi wa uenyeji wa Kombe la Dunia 2022 mjini Zurich 2010
Hali ya joto kwenye msimu wa jua nchini Qatar huzidi nyuzi joto 40 ilhali Novemba na Disemba hushuka mpaka nyuzi joto 25.
Mapendekezo ya leo yanatarajiwa kutathminiwa na kamati kuu ya Fifa mjini Zurich Machi 19 na 20.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks