Kutana na Mwanamke pekee anayeendesha gari nchini Afghanistan

Sara Bahayi mwanamke wa kwanza na pekee anayeendesha gari nchini Afghanistan
Sara Bahayi mwanamke wa kwanza na pekee anayeendesha gari nchini Afghanistan
Sara Bahayi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 na hajaolewa anafanya kazi ya kuendesha tax mjini Kabul Afghanistan.
Sara amesema kuwa ana amini ni yeye peke yake anayefanya kazi hiyo katika taifa hilo ambalo wanawake walipigwa marufuku na wanamgambo wa Taliban kuendesha gari, kuvaa nguo ambazo hazijastili mwili pamoja na kuvaa suruali.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks