Liverpool: Skrtel kukosa michezo mitatu

Skrtel akimchezea vibaya mlinda mlango wa  manchester united
Skrtel akimchezea vibaya mlinda mlango wa manchester united
Mlinzi wa klabu ya Liverpool Martin Skrtel anaweza kukabiliwa na adhabu ya kukosa baadhi ya michezo kutokana na kitendo cha kumshambuliaji mlinda mlango wa klabu ya Manchester United David De Gea katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliofanyika siku ya jumapili kwenye uwanja wa Anfield ambapo united iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Makamisaa wa mchezo huo hawakuona tukio hilo lakini shirikisho la mpira la Uingereza FA limesema litafatilia kitendo hicho ili kudhibiti matukio hayo yasitokee tena na endapo mchezaji huyo atabainika kufanya kitendo hicho anaweza kukosa michezo mitatu dhidi ya Arsenal, Newcastle pamoja na Blackburn.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks