Katika orodha ya mataifa 65, Uingereza ilishika nafasi ya sita, ikiwa na asilimia 30 ya watu wanaojiita watu wa dini.
Hii inalinganishwa na asilimia 53 ya watuu ambao walisema si wadini na asilimia 13 “wanadai hawaamini dini”, huku Waingereza waliobaki walisema “hawajui”.
Kwa utofauti, asilimia 94 ya watu nchini Thailand wanadai kuwa ni wadini, ikiwemo Armenia, Bangladesh, Georgia na Morocco wakikamilisha tano bora kwa kuwa na asilimia 93 kila mmoja.
Walioko chini ni China, ambapo asilimia 61 ya watu wake hawaamini dini, huku asilimia sita wakijiita wenyewe wanadini.
Kisha ilifiuatiwa na Japan ambapo asilimia 13 wanaamini dini, Sweden ina asilimia 19 huku Czech Republic ikiwa na asilimi 23.
Theluthi mbili ya watu wanachukuliwa kuwa wanaamini katika dini duniani.
China na Uingereza zimetia fora kwa hili…
0 comments:
Post a Comment