Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz amemtupia lawama mbunge wa jimbo la Kawe Halima mdee kwa kushindwa kukarabati barabara inayoelekea madale.
Diamond amesema hivyo wakati akiongea na watangazaji wa kituo cha Clouds tv leo asubuhi.
Pia amewaomba viongozi wote nchini kudumisha amani wakati tukielekea kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu wa rais ambao utafanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment