Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini-RITA,Philip Saliboko,amesimamishwa kazi kutokana na kesi inayomkabili katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, inayohusu kupokea mgawo wa fedha kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.
Taarifa hii imethibitishwa na Afisa mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment