Nyota wa filamu wa Nigeria ashinda kiti cha Ugavana


Desmond Elliot aliyevaa miwani akiwa na wasanii wenzake
Desmond Elliot ( kulia ) aliyevaa miwani akiwa na wasanii wenzake
Wafuasi wa nyota wa filamu nchini Nigeria Desmond Elliot waliibuka na furaha kubwa baada ya nyota huyo kutangazwa kushinda kiti cha ugavana kwa kupata kura 23,141 katika uchaguzi uliofanyika siku ya jumapili.
Muigizaji huyo amepata kiti hicho kwa kupitia chama cha upinzani cha APC kinachoongozwa na rais mteule Mohammed Buhari.
Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo:
Wafuasi wake wakimwagia maji baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha ugavana
Wafuasi wake wakimwagia maji baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha ugavana
Desmond akicheza muziki baada ya kutangazwa mshindi
Desmond akicheza muziki baada ya kutangazwa mshindi
Elliot akiwa na wafuasi wake
Elliot akiwa na wafuasi wake
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks