Bunge la Tanzania la miaka hii 10 limekuwa na wabunge machachari katika uchangiaji hoja ukilinganisha na mabunge yote yaliyopita na hii ni kutokana na nguvu kubwa ya upinzani.
Ndani ya muongo huu Tanzania imeshuhudia wabunge wa upinzani wakitisa bunge hilo wakiwemo akiwemo mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, Tundu Lissu na wengine wengi.
Ifuatayo ni orodha ya wabunge 10 waliochangia hoja na kuuliza maswali zaidi na waliochangia kidogo
- John J. Mnyika 2. Tundu Lissu 3.Moses Machali 4. Murtaza Mangungu 5. Diana Chilolo 6. Leticia Nyerere 7. Halima Mdee 8. Felix Mkosamali 9. Zitto Kabwe 10. Selemani JaffoWaliochangia kidogo 2010-20151. Mohamed Said Mohamed 2. Balozi Seif Ali Idd 3. Kisyeri Chambiri 4. Mohamed Seif Khatibu 5. Edward Lowassa 6. Godfrey Mgimwa 7. Turky Hassan Abdallah 8. Ali Haji Juma 9. Khamis Ali Kheir 0. Mwanahamisi Khasim SaidMtazamo wa wasomiProf. Gaudence Mpangala wa Chuo Kikuu ca Ruaha amesema hatua ya Wabunge kukaa kimya ina sura mbili. Kwanza, Wabunge hao hujiona ni sehemu ya Serikali hivyo kuogopa kuikosoa. Pili, ni kuwa na upeo mdogo wa mambo. Hawaa uwezo wa kuelewa na kuuliza au kuchangia.
Chanzo: Mwananchi
0 comments:
Post a Comment