Pengo: msimamo wangu uko pale pale

Kardinali Pengo
Kardinali Pengo
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema msimamo wake kuhusu Katiba Inayopendekezwa uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine ili waweze kutafakari maneno yake.
Muadhama aliongeza kuwa “msimamo wake na kanisa lake ni kwende kuipigia kura katiba iliyopendekezwa na sio vinginevyo kutokana na umuhimu wake
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks