Mtu mwenye kasi na nguvu duniani alikutwa nchini Jamaica wiki hii wakati Rais wa Marekani Barack Obama alipoitembelea Jamaica na kupozi na Usain Bolt.
Obama alisema “alipaswa kusema hi kwa Bolt, mwanariadha mwenye kasi wa kipindi hiki, akiwa kama Rais wa kwanza wa Marekani kutembelea kisiwa hicho tangu 1982.
Na wakati Obama alipokutana na Bolt hakusita kujiunga naye na mwanariadha huyo mashuhuri duniani na kuweka pozi la kijanja.
0 comments:
Post a Comment