Mwamuzi wa pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao jijini Las Vegas mwezi ujao atalipwa dola 10,000 (Mil. 18).
Pambano hilo litakalopigwa kwenye ukumbi wa MGM Grand Mei 2 linatarajiwa kuingiza dola milioni 400 huku wapiganaji hao wakilipwa zaidi.
Na, kwa mujibu wa Telegraph, mwamuzi pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu atajiingizia milioni 18 za Kitanzania huku Kenny Bayless na Tony Weeks wakiwania nafasi hiyo.
0 comments:
Post a Comment