Picha: Taswira halisi katika tukio la kumtambulisha Mhe. Edward Lowassa jijini Mwanza

Mgombea Urais kupitia UKAWA ndugu Edward Lowassa akiwa na Mgombea mwenza ndugu Juma Duni Hajii katika wa mkutano wa kumtambulisha jijini Mwanza

Mgombea urais wa UKAWA Mh. Edward Lowassa aliendelea na ziara yake ya kutafuta wadhani ambapo alianzia jijini Mbeya tarehe 14/8/2015 katika viwanja vya Rwanda nzovwe maarufu kama uwanja wa Dr Slaa na kufuatiwa Jijini Arusha tarehe 15/8/2015 katika viwanja vya Tindigani na kumaliziwa Jijini Mwanza tarehe 16/8/2015 katika viwanja vya Furahisha. Katika mikutano yote hiyo kumekuwa na mwamko mkubwa sana wa wananchi waliojitokeza kumpokea mgombea urais wa UKAWA.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kwa Umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini humo, leo Agosti 16, 2015

James Lembeli na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe wakiwasalamia wakazi wa Mwanza

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akihutubia mamia ya wakazi wa Mwanza wakati wa kumtambulisha Mgombea wa UKAWA jijini Mwanza

Mgombea urais wa Ukawa Edward Lowassa akipeana mikono na mgombea mwenza Juma Haji Duni katika mkutano huo

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia Umati wa Wakazi wa Jiji la Mwanza uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, wakati wa Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa wagombea hao na kutambulishwa kwa wananchi, Agosti 16, 2015

Umati wa Wakazi wa Jiji la Mwanza ukiwa umefurika kwa wingi katika Barabara kuu ya kutoka Uwanja wa Ndege kuelekea katikati ya mji, wakati wa mapokezi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,ambaye yupo kwenye ziara ya kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) na kutambulishwa kwa wananchi, leo Agosti 16, 2015

People's Power
People’s Power
Umati wa watu uliojitokeza kumlaki Mhe. Edward Lowassa

Alipotua katika kiwanja cha ndege Mwanza alikutana na umati mkubwa wa watu waliomsindikiza mpaka sehemu ya tukio.
Vyombo vingi vya habari viliita umati huo "Mafuriko"
Vyombo vingi vya habari viliita umati huo “Mafuriko”
Umati huu ulijitokeza kumlaki Mgombea urais wa Ukawa Mhe. Edward Lowassa

Mbali na kuwa na umati mkubwa wa wafuasi katika mikutano hiyo viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo wameendelea kusistiza kuwa Watanzania wajitokeza kwa wingi wao siku ya kupiga kura na walinde kura zao na huku wakitoa matamko mbalimbali juu ya vyombo vya Ulinzi na Usalama kusimamia haki na kulinda usalama wa Watanzania sio kutumika na baadhi ya viongozi kwa maslahi yao binafsi na kuwa hali hiyo ikipuuzwa italeta machafuko katika Taifa.
Chanzo: Chadema Blog
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks