Twitter imepunguza tena wafanyakazi… idadi ya watu waliopunguzwa ni hii....

Twitter kwenye headlines mtu wangu, kama wewe ni mtumiaji mkubwa wa mtandao huo wa kijamii basi taarifa hii ikuguse popote pale ulipo…

CEO wa kampuni ya Twitter, Jack Dorsey ametangaza kupitia page yake ya Twitter kuwa kampuni hiyo imepunguza wafanyakazi 336 kwa nia na dhamira ya ‘kukuza na kubadilisha mfumo wao wa kutoa huduma zao kibiashara’, ambapo punguzo hilo la wafanyakazi ni sawa asilimia nane ya wafanyakazi wake 4100 waliopo kwenye branch mbalimbali za ofisi zao.


Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks