Diamond Platinumz leo amepata habari njema baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV Europe, EMAs Afrika akiwemo Davido, Toofan (Togo) na Goldfish (Afrika Kusini)...>>>
Msanii mwingine wa tano akisubiria kutajwa baada ya mashabiki kumpekeza kutoka kwenye kundi la wasanii sita ambao ni Anselmo Ralph, Gangs of Ballet, Mafikizolo, Sarkodie, Sauti Sol na Tiwa Savage.
Aidha, majina yote ya wasanii wanaowania tuzo hizo yatatajwa September 16 ambapo upigaji kura utaanza rasmi.
0 comments:
Post a Comment